Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia
Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Waziri Mkuu wa Ethiopia
Mheshimiwa Abiy Ahmed pembezoni mwa Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa Umoja wa
Afrika, tarehe 14 Februari, 2026 jijini Addis Ababa, Ethiopia.

Tunapatikana Kupitia