Rais Donald Trump amedokeza kuwa Marekani inaweza kujibu “hivi karibuni” kufuatia shambulio dhidi ya ubalozi wake mjini Riyadh na kuuawa kwa wanajeshi sita wa Marekani katika mashambulizi ya Iran.
Akizungumza na mtandao wa televisheni wa Marekani NewsNation Jumatatu, Trump anaripotiwa kusema, “mtajua hivi karibuni” jinsi Marekani itakavyojibu, bila kutoa maelezo zaidi.

Tunapatikana Kupitia