Amesema soko hilo sio la watu au kundi fulani, bali la Watanzania na wasio Watanzania. Pia, amedokeza kuungua kwa Kariakoo kuliangamiza mitaji na kusambaratisha ndoto za matumaini za wafanyabisahara.

Dkt Samia ametoa kauli hiyo jijini Dar es Salaam leo, Jumapili Februari 8, 2026 alipofungua Soko la Kariakoo lililojengwa upya baada ya kuungua mwaka 2021.
“Ndio maana Serikali imechukua jitihada za kujenga soko upya ili kurejesha kipato, kulinda ajira na kuimarisha hadhi ya biashara ndani ya nchi yetu na huu ndio uhalisia wa Kazi na Utu. Tunapojenga uchumi tunajenga utu wa mtu,” amesema


.jpeg)
.jpeg)
Tunapatikana Kupitia