DAR: Kesi ya Uhaini Namba 19605/2025 inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (#CHADEMA), Tundu Lissu, inatarajiwa kuendelea leo Februari 9, 2026 na kusikilizwa mfululizo hadi Machi 6, 2026, katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam.
Ikumbukwe, Novemba 12, 2025, kesi hiyo iliahirishwa kwa muda usiojulikana hadi pale ambapo Mahakama ingetangaza tarehe mpya ya kusikilizwa, baada ya notisi ya awali kuonesha kuwa mwisho wa usikilizaji ungekuwa tarehe hiyohiyo Novemba 12, 2025

Tunapatikana Kupitia