Kampeni ya Mwanzo wa Mwaka "FUNDI NA FAMILIA" inayoendeshwa na Magic Builders imeanza rasmi leo Februari 7, 2026 katika Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga Mkoani Rukwa, kampeni yenye lengo la kuwaleta pamoja katika Kikao kifupi Mafundi Ujenzi, Watoto wa Mafundi Ujenzi na Magic Builders.
Wazazi wamejitokeza kwa wingi pamoja na Watoto wao ambapo pamoja na mambo mengine Magic Builders itawasaidia Wazazi michango ya Shule pamoja na Vifaa vya Shule vya Wanafunzi (Stationeries).
Kauli Mbiu ikiwa ni "Sisi na Mafundi Daima"





Tunapatikana Kupitia