Mahakama Kuu Masjala ndogo ya Dar es Salaam imekubaliana na pingamizi la la Mshstikiwa Tundu Lissu kuhusiana na taarifa ya kuongezwa kwa ushahidi wa Shahidi (Notice Substance), iliyotolewa na upande wa Mashtaka Februari 18, 2026.
Akisoma uamuzi huo, Jaji mkuu anayeongoza kesi hiyo Dustin Ndunguru amesema Kwa mujibu wa kifungu cha 308(1) ushahidi unatakiwa kutolewa ni ule uliosahaulika wakati wa Committal na si ushahidi mpya ambao unaletwa baada ya Committal.
Ikumbukwe kuwa upande wa Mashtaka uliwasilisha notisi hiyo ikitaka Amini Mahamba ambaye ni mpelelezi wa Matukio ya Oktoba 29 na baada ya kuleta ushahidi mpya.

Tunapatikana Kupitia