Wahudumu wa sehemu wanapouza vinywaji na walala wageni eneo la Makilikili kata ya Msangano Wilaya Momba mkoani Songwe wamejengewa uelewa juu ya umuhimu wa kutoa taarifa pindi wanapoona viashiria vya uhalifu kabla au baada ya kutokea.
Elimu hiyo imetolewa tarehe 10 Februari, 2026 na Polisi Kata wa Msangano Mkaguzi wa Polisi Mwasipu Nia, aliwahimiza wahudumu hao kuwa mstari wa mbele kutoa taarifa matukio yote yenye dalili za uhalifu kwa Jeshi la Polisi.
Mkaguzi Mwasipu, Alihitimisha kwa kuwakumbusha wahudumu hao kuwa ushirikiano wa karibu na Jeshi la Polisi kwani ni silaha muhimu ya kuzuia uhalifu na kuimarisha amani, ikiwa ni pamoja na kulinda usalama wa raia na mali zao
.jpeg)
Tunapatikana Kupitia